Nimekwambia kule juu, haina shida kama haijafika 140/90 na hana izo dalili nyingine..na akapima kwa masaa tofauti, pressure 135, 138 kwa mjamzito ni kawaida, endeleeni kuangalia huenda ilipanda mara moja kutokana na hakutulia au alikua hajapumzika vizuri au error ya kipimo, yote yanawezekana. Pia aendee na mazoezi tu.