mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Mar 25, 2012 #1 iko kwenye hali nzur sana imetembea ichin mwaka 1 na ilikuja mpia kabisa.unaweza kuiyona.bei dola 11.000 Attachments 20032012703.jpg 457.7 KB · Views: 58 20032012704.jpg 506.5 KB · Views: 61 20032012705.jpg 649.6 KB · Views: 77
iko kwenye hali nzur sana imetembea ichin mwaka 1 na ilikuja mpia kabisa.unaweza kuiyona.bei dola 11.000
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Mar 25, 2012 Thread starter #2 kwa nyongeza unaweza kuni pm au kutumia mail saidi49@ymail.com.au 0782 990567.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,271 Reaction score 13,280 Mar 25, 2012 #3 Ni kwa nini unauza kwa pesa ya kigeni wakati tupo Nchini mwetu? Badilisha weka madafu hapo toa USD.
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,943 Reaction score 805 Mar 25, 2012 #5 mkiva said: iko kwenye hali nzur sana imetembea ichin mwaka 1 na ilikuja mpia kabisa.unaweza kuiyona.bei dola 11.000 Click to expand... Ya mwaka gani hiyo mpaka uiuze 17m?
mkiva said: iko kwenye hali nzur sana imetembea ichin mwaka 1 na ilikuja mpia kabisa.unaweza kuiyona.bei dola 11.000 Click to expand... Ya mwaka gani hiyo mpaka uiuze 17m?
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 657 Mar 25, 2012 #6 Mtanzania bwana kila ikiuza kitu inaweka Dollar sijui ili tujue ni bei rahisi?
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Mar 25, 2012 Thread starter #7 Amoeba said: 17m!!!!! Click to expand... Nikweli ni 17 milion mkuu
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Mar 25, 2012 Thread starter #8 Zipuwawa said: Mtanzania bwana kila ikiuza kitu inaweka Dollar sijui ili tujue ni bei rahisi? Click to expand... Hapana sina maana hiyo mkuu.ni !7 milion.nimeeka 2 sikua nimedharau shiling ya tz
Zipuwawa said: Mtanzania bwana kila ikiuza kitu inaweka Dollar sijui ili tujue ni bei rahisi? Click to expand... Hapana sina maana hiyo mkuu.ni !7 milion.nimeeka 2 sikua nimedharau shiling ya tz
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Mar 25, 2012 Thread starter #9 Osaba said: Ya mwaka gani hiyo mpaka uiuze 17m? Click to expand... Ni ya 2004 plet no ben