mkuu samahani by Practicability unamaanisha niniComfort = Crown
Low Running Cost = Premio
Practicability = RVR
Overall = Premio
💪Comfort = Crown
Low Running Cost = Premio
Practicability = RVR
Overall = Premio
Based on the above ,Kunae uncle wangu , bachelor baada ya kumaliza chuo na kupata kazi ameanza kujipata , anataka kununua usafiri wa kumsaidia kwenye shughuli zake za kila siku jijini Dar es Salaam .
Ameniomba ushauri kati ya Crown, Premio new model au RVR ni ipi itamfaa zaidi based on comfort, running and maintenance costs.
Sasa mimi baba mdogo wenu sio mzoefu wa magari , nimekuwa nikiendesha Toyota hilux huku mashambani toka enzi za JK .
Sasa nalileta jukwaani kwenu wajuvi wa magari , uncle aanze kutembelea miguu minne.
Hapa kwenye practicability unamaanisha nini uncle ?Comfort = Crown
Low Running Cost = Premio
Practicability = RVR
Overall = Premio
mkuu samahani by Practicability unamaanisha nini
“Practicability” ni kama tuseme ipi inafaa kwa matumizi mbalimbali kwa Bongo, kuanzia barabara, leo umebebea mzigo kwenye buti, umesafirisha familia na mizigo, etc etc.Hapa kwenye practicability unamaanisha nini uncle ?