1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,327
- 12,691
Hahaha, utabiri nao unakutesa?Kasema utabiri sio ndoto
Walishajizoelea kuwekwa mwiko nyuma. Leo watawekwa nyuma mwiko mmoja tuHaya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa.
Utabiri Wangu Huu Hapa
Yanga 0 Rivers United 2
Tiririka Mdau
Watoe draw ya magoli. Wakishinda manara atatukashifu sana eeh Mungu liepushe kabisa hili la kukashifiwa na Manara.
89%una uhakika?
Bet weka stake Millioni mbili. Ule millioni 14,000,000.Haya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa.
Utabiri Wangu Huu Hapa
Yanga 0 Rivers United 2
Tiririka Mdau