Kitu 540, hizo shida mnaongelea hapa mi sijawahi kuzipata wala sijawahi panda hiyo presicion, 540 ni focker na kutoka Dar -Mwz inakaa angani only one hour precision nasikia inakaa angani masaa mawili. 'HAMIA 540'