Hivi hii ndege inaoperate kwa uchafu kiasi hiki! sijaamini watu wanapewa boarding pass wanaachwa! nimejionea mwanza pana uchafu uliokithiri! inawezekana vipi mfanyakazi anatoka dirishani anakuja nje anakusanya tiketi za watu mikononi halafu wale waliompa rushwa anawachukua anabakiza tiketi zenye majina ambayo hawajamuhonga? wanakatisha tiketi kwa gharama kubwa halafu wanaoperate kama mabasi ya mbagala! shirika linajifanya lina selfhandling lakini kinachofanyika ni masrahi binafsi ya wafanyakazi wanaotumia system weak za shirika za kuoverbook kugandamiza abiria hivi Tanzania tutafika?
Ugewaandikia wahusika pia ingekua bomba
Hapo Mwanza pana rushwa sana sana nadhani hakuna msimamizi wa Precision Air wote wale ni vibarua au outsourced function hawana nidhamu ya kazi wala hawafuati utaratibu unavyotakiwa!!
Mkuu afadhali mstari umekatwa utalalamikia shirika na system mbovu! mana kama wamekata wa mbele wameondoka utaendelea kulalamika bado kwamba kwanini umeachwa na ulikuwa na confirmation! lakini pale zinakusnywa tiket mkononi na wanaondoka waliokuwa nyuma? hata kipofu atagombana! binafsi sipandi tena hii ndege! najua saivi hawajali kelele za watu wanaona wana watu wengi lakini naamini hakuna marefu yasiyo na ncha pale tuliokuwepo ni wengi wameshatupoteza na kwa kuwa si mara ya kwanza watakuwa wamepoteza wa kutosha! at the end of the day mwisho wao utakuja tu!Nakumbuka kipindi cha easter watu wakati tunatoak mwanza kwenda dar ilikua ijumaa kuu afternoon flight, sikua nimebook precision, nilikua nimebook 540 ila mda wa kuondoka watu kadhaa waliokua pale wakaachwa eti ndege imejaa wakaambiwa walichelewa ku check in wakati haikua kweli kwani walikua wamefika 1hr before flight, ni mstari ukakatwa tu wakaambiwa nyie mtaondoka kesho asbui yaani jumamosi, ilishangaza nadhan kumbe ndio mchezo wao, watapigwa bao na 540 mda c mrefu!
Mkuu afadhali mstari umekatwa utalalamikia shirika na system mbovu! mana kama wamekata wa mbele wameondoka utaendelea kulalamika bado kwamba kwanini umeachwa na ulikuwa na confirmation! lakini pale zinakusnywa tiket mkononi na wanaondoka waliokuwa nyuma? hata kipofu atagombana! binafsi sipandi tena hii ndege! najua saivi hawajali kelele za watu wanaona wana watu wengi lakini naamini hakuna marefu yasiyo na ncha pale tuliokuwepo ni wengi wameshatupoteza na kwa kuwa si mara ya kwanza watakuwa wamepoteza wa kutosha! at the end of the day mwisho wao utakuja tu!
Yaani hii ndege ni balaa kama daladala la mbagala, niliwaonea huruma sana abiria waliosafiri na kampunii siku ya alhamisi walijuta kuifahamu. Pamoja na mimi nilikumbwa na delay za hapa na pale lakini wajirekebishe
Hivi hii ndege inaoperate kwa uchafu kiasi hiki! sijaamini watu wanapewa boarding pass wanaachwa! nimejionea mwanza pana uchafu uliokithiri! inawezekana vipi mfanyakazi anatoka dirishani anakuja nje anakusanya tiketi za watu mikononi halafu wale waliompa rushwa anawachukua anabakiza tiketi zenye majina ambayo hawajamuhonga? wanakatisha tiketi kwa gharama kubwa halafu wanaoperate kama mabasi ya mbagala! shirika linajifanya lina selfhandling lakini kinachofanyika ni masrahi binafsi ya wafanyakazi wanaotumia system weak za shirika za kuoverbook kugandamiza abiria hivi Tanzania tutafika?
Hivi hii ndege inaoperate kwa uchafu kiasi hiki! sijaamini watu wanapewa boarding pass wanaachwa! nimejionea mwanza pana uchafu uliokithiri! inawezekana vipi mfanyakazi anatoka dirishani anakuja nje anakusanya tiketi za watu mikononi halafu wale waliompa rushwa anawachukua anabakiza tiketi zenye majina ambayo hawajamuhonga? wanakatisha tiketi kwa gharama kubwa halafu wanaoperate kama mabasi ya mbagala! shirika linajifanya lina selfhandling lakini kinachofanyika ni masrahi binafsi ya wafanyakazi wanaotumia system weak za shirika za kuoverbook kugandamiza abiria hivi Tanzania tutafika?
This is really sad news. When there is lack of competition in the industry these type of gabbage are likely to appear. Tunahitaji competition kwenye hili soko ili kuwe na automatic behaviour change.
Pia kuna ishu ambayo ningeshauri watu wa usalama waizingatie pale mwanza. Kuna tabia ya kupitisha baadhi ya mizigo bila kuipima; yaani ukiwa na mizigo mingi (kama ndoo za samaki) wale wahudumu wanakutokea toka unapofika tu na kuomba wakupitishie mizigo inayozidi uzito bila gharama kubwa. Wanaomba kati ya 5,000 na 10,000. Abiria wengi hawajui umuhimu wa kupima uzito. Hii ni hatari kwa usalama wa ndege hasa wakati wa kuruka.
bora mmenijulisha nilitaka kwenda kununua hisa zao