[h=2]Pre- entry ya diploma Tanzania.[/h]
Ndugu wadau wa JF currently kuna mchakato wa kozi ya pre-entry ya dipoloma kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi na hisabati wenye ufaulu wa S na E. Na kwabahati mbaya wamekuja na msamiati wao wanaita BRIDGING COURSE ambayo itafundishwa kwa miezi mitatu halafu baadae watajiunga na Ordinary diploma. Je wadau huu utaratibu niwaukweli? AU NISEHEMU YA KULA PESA TU YA WATANZANIA? je ndani ya miezi mitatu hawa wanafunzu watakuwa competent zaidi ya miaka miwili waliyokuwa sekonadari? jamani au nimaelekezo ya watoa fungu (wafadhili) ili wachache wale kupitia migongo ya watu ambao eti wamefeli? Kimsingi hawa wanafunzi kwa muda wote wa kozi hii hawatalipia chochote. WADAU HEBU TULITAFAKALI HILI.