Malyenge JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 6,658 Reaction score 3,662 Oct 18, 2017 #21 Disuma said: Boss ni km115,000s tu nmerekebisa kwenye comment. Inshort gari bado ni nzuri sana Click to expand... Liliingia likiwa limetumia kilometa ngapi?
Disuma said: Boss ni km115,000s tu nmerekebisa kwenye comment. Inshort gari bado ni nzuri sana Click to expand... Liliingia likiwa limetumia kilometa ngapi?
Guantanamo Sobibor JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 897 Reaction score 1,133 Oct 18, 2017 #22 Malyenge said: Yaani tokea gari iundwe mwaka 2004 kilometa ilizotembea ni aki moja na elfu arobaini na tisa tu? Kweli?? Click to expand... Kwani gari kuundwa mwaka huo kuna uhusiano gani na kilometers ilizotembea? Umekariri siyo? Kuna wengine gari kutoka hadi kwasababu maalum hivyo kilometer za gari zao haziwezi kuwa sawa na wale wazee wa misere kila siku.
Malyenge said: Yaani tokea gari iundwe mwaka 2004 kilometa ilizotembea ni aki moja na elfu arobaini na tisa tu? Kweli?? Click to expand... Kwani gari kuundwa mwaka huo kuna uhusiano gani na kilometers ilizotembea? Umekariri siyo? Kuna wengine gari kutoka hadi kwasababu maalum hivyo kilometer za gari zao haziwezi kuwa sawa na wale wazee wa misere kila siku.
N ngurumoo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 582 Reaction score 295 Oct 18, 2017 #23 Disuma said: Land cruiser Prado Tx 2003-2004 115,000kms Automatic Petrol engine 3rz Pirelli new tires Dark grey Sports rims Dvd screens(3) 33milion shillings only No scratch and very well maintained Pls Call or whatsapp or text 0652744408 for any information View attachment 611155View attachment 611156View attachment 611157View attachment 611158View attachment 611159View attachment 611160View attachment 611161View attachment 611162 Click to expand... 2003 to 2017 imetembea km 115000 tuu , ilikuwa hatumiki ????? Akili za kuambiwa changanya Na zako, Itakuwa inakula engine oil.
Disuma said: Land cruiser Prado Tx 2003-2004 115,000kms Automatic Petrol engine 3rz Pirelli new tires Dark grey Sports rims Dvd screens(3) 33milion shillings only No scratch and very well maintained Pls Call or whatsapp or text 0652744408 for any information View attachment 611155View attachment 611156View attachment 611157View attachment 611158View attachment 611159View attachment 611160View attachment 611161View attachment 611162 Click to expand... 2003 to 2017 imetembea km 115000 tuu , ilikuwa hatumiki ????? Akili za kuambiwa changanya Na zako, Itakuwa inakula engine oil.
Disuma Member Joined May 23, 2014 Posts 62 Reaction score 19 Oct 18, 2017 Thread starter #24 ngurumoo said: 2003 to 2017 imetembea km 115000 tuu , ilikuwa hatumiki ????? Akili za kuambiwa changanya Na zako, Itakuwa inakula engine oil. Click to expand... Kms kitu gani watu wanamagari zaidi ya 5 ya kutumia, sio kila mtu anaishi kama wewe.Akili finyu kakojoe ulale!
ngurumoo said: 2003 to 2017 imetembea km 115000 tuu , ilikuwa hatumiki ????? Akili za kuambiwa changanya Na zako, Itakuwa inakula engine oil. Click to expand... Kms kitu gani watu wanamagari zaidi ya 5 ya kutumia, sio kila mtu anaishi kama wewe.Akili finyu kakojoe ulale!
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,379 Reaction score 21,717 Oct 18, 2017 #25 ngurumoo said: 2003 to 2017 imetembea km 115000 tuu , ilikuwa hatumiki ????? Akili za kuambiwa changanya Na zako, Itakuwa inakula engine oil. Click to expand... Magari hujayajua bado Mkuu.
ngurumoo said: 2003 to 2017 imetembea km 115000 tuu , ilikuwa hatumiki ????? Akili za kuambiwa changanya Na zako, Itakuwa inakula engine oil. Click to expand... Magari hujayajua bado Mkuu.
kiumbe kipya JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 2,831 Reaction score 1,304 Oct 18, 2017 #26 Mi nataka ho mjengo pamoj na gari/namba ipi mkuu A,B,C,D hilo huwa tunahojigi pia
Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 575 Oct 18, 2017 #27 ngurumoo said: 2003 to 2017 imetembea km 115000 tuu , ilikuwa hatumiki ????? Akili za kuambiwa changanya Na zako, Itakuwa inakula engine oil. Click to expand... wewe jamaa kweli hujui maana ya gari na kilomita....km laki moja isikie tu hasa kwa gari private maana unaweza maliza mwaka upo below km elfu kumi
ngurumoo said: 2003 to 2017 imetembea km 115000 tuu , ilikuwa hatumiki ????? Akili za kuambiwa changanya Na zako, Itakuwa inakula engine oil. Click to expand... wewe jamaa kweli hujui maana ya gari na kilomita....km laki moja isikie tu hasa kwa gari private maana unaweza maliza mwaka upo below km elfu kumi
Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 575 Oct 18, 2017 #28 mbona umeficha plate number?
Disuma Member Joined May 23, 2014 Posts 62 Reaction score 19 Oct 18, 2017 Thread starter #29 mussa mashala jr said: mbona umeficha plate number? Click to expand... Bqz
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 Oct 18, 2017 #30 Disuma said: Bqz Click to expand... Namba C, D?