kwa siku za karibuni nimekuwa na interest za
graphics na
animation. So kwa wale wanapeda kujifunza vitu kwa kujaribu practically wanaweza kujipa chllnge hii kwa kufuata maelekezo ya wataalam.
Napenda kushare nanyi links nilizokutana nazo wakati najifunza zoezi hili
I: Kutengeneza mdudu anayetembea
soma
Ant moving around | Photoshop Tutorial
II: kutengeneza Jina linayoyeyuka
soma
Photoshop Animated Melt Text adobe photoshop 7 tutorial|adobe photoshop bubble|adobe photoshop cs2 text | tutorialqueen.com
III. Na hii nadhani ni rahisi zaidi uliko zote
Soma :
Animating in PhotoShop CS3 : PhotoshopAtoms - Photoshop Tutorials and Resources
Mwenye viunganisho zaidi adondoshe hapa teundee kudaka maujuzi