Powder Refill Ink for Brother Printers

Mtali

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
4,070
Reaction score
3,517
Wakuu habarini za majukumu ya kifamilia na kitaifa. Mwenzenu nimekuwa nikihangaika namna ya kupata Brother Cartridge Refill Powder kwa ajili ya printer zangu. Shida ni kwamba Cartridge za hawa jamaa ni bei mbaya na kurasa inatoa chache sana na wino unakuwa umeisha. Sasa kiuchumi inaumiza sana. Tafadhali anayefahamu mahali inakopatikana hii kitu kwa hapa Tanzania tafadhali sana anijuze.

Regards
Mtali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…