Walitumia sana mbolea nenda kule kufanya utafiti utapiga pesaUdongo wao mwingi unatokana na "sandstone" kwa hiyo bila kurejesha nutrients kwa wingi shambani lazima shamba litachoka
Bado wanataka utaalamu kama unaweza kujitoa unaweza kuwa mwanga waoKulikuwa na programme ya migomba pale TARI MARUKU kulifuatilia tatizo hili. Nakumbuka ilichanganyika maradhi ya migomba na afya ya udongo.
Nawezapata mawasiliano yako kiongozi?..asanteHizo ndizi muonekano wake huo ni matunzo bora kabisa na nimekuwa nikifanya consultant ya kilimo cha ndizi na ninalima kwa miaka 20 sasa.
Naona umeshalila Hadi mgomba umependeza.