In addition m2 aliyekosa qualification za kujiunga na NTA 4 atasoma Access course ambayo ni course ya miezi mi3 ambapo mwishoni watafanya mtihani na watakaopata alama zilizopangwa na chuo hupata nafac za kuingia NTA 4 (Diploma mwaka wa kwanza)
Waliokosa GPA za kutosha kujiunga na Barchelor hufanya mtihani wa mature age entry ambapo ukifaulu utaruhusiwa kujiunga degree na chuo husika
Waliokosa GPA za kutosha kufanya masters wanatakiwa kusoma Post graduate course ya mwaka mmoja ili kupata equivalent qualification ya kufanya Masters
Hop imeeleweka
#naruhusu mabadiliko km nimekosea sehem