asasalam alaykum nimeitwa nahawa tume ya ajira kwenye post ya afisa biashara yenimaswali ya aina gani wanayouliza ilitujkandae vema.kama hujui kuwa mstaarabu usujibu pumba tupo serious.
Hata kabla watu hawajakushauri kitu gani cha kujiandaa,pitia kwanza hiki ulichoandika kabla hujaposti hapa,fanya editing then post...jinsi ulivyochanganya maneno ukipewa interview ambayo ni written itakukost!!