Mbute na chai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 571 Reaction score 610 Oct 18, 2017 #1 Kuna ye yote aliyepata kwenye awamu hii ya kwanza? Tafadhari tushirikishane
T taslo Member Joined Jul 9, 2014 Posts 46 Reaction score 7 Oct 18, 2017 #2 Yan unaulzia watu wa mastaz au
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,937 Reaction score 8,358 Oct 18, 2017 #3 huu utaratibu upo kwani?
Mbute na chai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 571 Reaction score 610 Oct 18, 2017 Thread starter #4 taslo said: Yan unaulzia watu wa mastaz au Click to expand... Ndio; masters pamoja na postgraduate diploma in legal practice (Law school)
taslo said: Yan unaulzia watu wa mastaz au Click to expand... Ndio; masters pamoja na postgraduate diploma in legal practice (Law school)
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,701 Reaction score 36,806 Oct 18, 2017 #5 Mbute na chai said: Ndio; masters pamoja na postgraduate diploma in legal practice (Law school) Click to expand... watoto wa undergraduate wakose mkopo.. uwape watu wazima wa postgraduate kweli
Mbute na chai said: Ndio; masters pamoja na postgraduate diploma in legal practice (Law school) Click to expand... watoto wa undergraduate wakose mkopo.. uwape watu wazima wa postgraduate kweli
Mbute na chai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 571 Reaction score 610 Oct 18, 2017 Thread starter #6 FRESHMAN said: watoto wa undergraduate wakose mkopo.. uwape watu wazima wa postgraduate kweli Click to expand... [emoji33]
FRESHMAN said: watoto wa undergraduate wakose mkopo.. uwape watu wazima wa postgraduate kweli Click to expand... [emoji33]
R robotics Senior Member Joined Sep 30, 2017 Posts 171 Reaction score 128 Oct 19, 2017 #7 sijui kama bado wanaendelea kuwapa make sharti kuu ni uwe TA,assistant lecturer ili upate,lakn saiv naona ni vyuo tuu ndo vinagharimikia ama candidates labda wake waliowah kupata gpa<3.7
sijui kama bado wanaendelea kuwapa make sharti kuu ni uwe TA,assistant lecturer ili upate,lakn saiv naona ni vyuo tuu ndo vinagharimikia ama candidates labda wake waliowah kupata gpa<3.7