wadau tujuzane possible questions kwa nafasi ya investigation officer..kwa waliowahi kufanya tafadhali msaada unahitajika kwa ajili ya maandalizi.Asante
nenda kwenye ofice zao jidai utafuta jalada mojawapo la wanasiasa, au njia ya pili nenda kituo cha polisi na changanya na zako, utakuwa umepata experience.
NB; Jiamini na uombe Mungu.
nenda kwenye ofice zao jidai utafuta jalada mojawapo la wanasiasa, au njia ya pili nenda kituo cha polisi na changanya na zako, utakuwa umepata experience.
NB; Jiamini na uombe Mungu.