fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 667
- 721
Kuna MTU unayemjua huku nimkabidhi au utumiwe?Nipo moshi nitaipataje
Hicho kifaa kinascan Kama scanner nyingine na inahifdhi kwenye memory card..kinatumia bettry tu na inascan document kwa mfumo unaotaka either PDF au jpg..Maelezo zaidi mkuu
Acha nimuulize mtu mkuuKuna MTU unayemjua huku nimkabidhi au utumiwe?
PoaAcha nimuulize mtu mkuu
Huwezi kufananisha kifaa kilichotengenezwa mahususi kufanya kazi fulani na simu ambayo ni ya mawasiliano utegemee zitoe matokeo sawia.Wengine tunatumia simu kuscan docs.
mwananyamalaunapatikana wapi mkuu?