My friend,You maybe wrong. In 1Peter 1:16 it's written,Mimi ni mkristo,lakni sikubaliani na wakatoliki katika mambo mengi,hili ni moja wapo. Mtakatifu ni yeye aliye juu yetu.Hakuna mwingine!!
Hatari sana!binadamu anatoa utakatifu aisee!
Sasa ni mtakatifu...Si hatari ni salamaHatari sana!
Unachoshangaa ni kitu gani hasa ..binadamu anatoa utakatifu aisee!
Ooh I see!Sasa ni mtakatifu...Si hatari ni salama
utakatifu unaujua wewe au unashabikia tuu! huwezi kumpa mtu utakatifu!acheni kupotoka!Unachoshangaa ni kitu gani hasa ..
Unauliza swali au unahitimisha..??utakatifu unaujua wewe au unashabikia tuu! huwezi kumpa mtu utakatifu!acheni kupotoka!