MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,104
Ni dalili mbaya kuwa kuna tukio baya litatokea ndani ya wiki hiiKiongozi wa dini ya kikiristo Pope Frances alijikwaa leo asubuhi alipokuwa akiongoza misaView attachment 372493View attachment 372494View attachment 372495View attachment 372496
Imani nyingine balaaa!Ni dalili mbaya kuwa kuna tukio baya litatokea ndani ya wiki hii
Dah mkuu hata kama wewe si wa imani hiyo lakini elewa kwamba huyo ni mzee kama alivyo babu yako na kitendo cha mtu mzima kuanguka iwe kwa namna yoyote si cha kukejeli namna hiyoHapa inabidi nicheke tu...... yani Papa kaona bora yeye agaregare chini lakini chatezo kisalimike. Hahaaaa, yaani kama mlevi, atadondoka lakini glasi ya pombe itabaki hewani, pombe hakuna kumwagika
Hapa inabidi nicheke tu...... yani Papa kaona bora yeye agaregare chini lakini chatezo kisalimike. Hahaaaa, yaani kama mlevi, atadondoka lakini glasi ya pombe itabaki hewani, pombe hakuna kumwagika
Mkuu hapa sikejeli, bali nafurahia uhodari wa Papa kuhakikisha Chetezo, na pengine kilichomo ndani yake, hakidondoki. inawezekana kuna ubani wa kitakatifu sana ndani ya chetezo hichoDah mkuu hata kama wewe si wa imani hiyo lakini elewa kwamba huyo ni mzee kama alivyo babu yako na kitendo cha mtu mzima kuanguka iwe kwa namna yoyote si cha kukejeli namna hiyo
Wewe ni nani Mkuu? Yaani wewe hata uonekane ukimezwa na chatu hiyo wala sio habari.Namimi siku nikijikwaa na nikaanguka chini, nitakuja niweke bandiko hapa kupitia ile I'd yangu ya zamani
Wewe ni nani Mkuu? Yaani wewe hata uonekane ukimezwa na chatu hiyo wala sio habari.
Mugabe anamheshimu sana Pope. Ni kiongozi wake wa kiroho na ukizingatia pia Pope huyu hajatokea Ulaya au kuwa na maneno makali ya moja kwa moja dhidi ya utawala wa Mugabe. Sitegemei hash comments kutoka kwake. Sana sana sitashangaa kusikia kundi la Daesh lijikitapa kwamba limehusika na kudondoka kwa Pope.Sijui Mugabe atakuwa Na comment gani juu ya hili...maana wazungu walimzonga sana alivyoanguka mwaka Jana ile..
... na habari imesema baada ya kujikwaa aliendelea na ratiba yake kama kawaida ...Kama kajikwaa ni kawaida myu kuangu baaada ya kujikwaa. Lakini kama kaanguka kwa matatizo ya kiafya hiyo ni issue nyingine.
Pole papa Francis
Wewe kwani tatizo nini, ungemzuia sasa asianguke, unakera issue si kaanguka au angukewa mgabe ungeshangilia, kuanguka kawaida tu naona unafuatilia sana.Kwani wewe, ama, baba yako, ama mama yako, ama babu yako, ama Dada yako, hamjawahi kuanguka?