othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,686
- 12,192
Kwani matokeo yakoje? Nyie watu wa ccm ni kulialia tu, lisu awalize yanga iwalize arghHiyo ndio mechi ya ndugu wawili mechi mbovu kuwahi kushuhudiwa mechi ya mipango mpira unapigwa wanaurudisha kwa mfungaji kipa anajirusha ushahidi bila...krosi inapigwa mabeki wanajitenga mfungaji amewachwa peke yake malengo yametimia msifunge mengi mawili yanatosha wasielewe kama mechi tumepanga aibu kubwa kwa soka la bongo matusi yanakaribishwa mwigulu hersi na mwigulu fanyeni mpango muinunue na tabora united...tulitegemea usajili mkubwa dhamira nikutoa upinzani kama azam kumbe usajili mkubwa ni kumsindikiza kibaka huku unapiga kelele kuwazuga wengine....Hussein Massanza anaipongeza GSM badala ya azam tv...mechi mbovu haistaili kuwa ya ligi kuu!
Hakika ila si aibu kwa aibu kama ya leo hata mtoto anajua matokeo uamepangwa!Tunaona inashinda kwa machozi ya wakina Tatu malogo ni machozi aswaa🤣🤣
Na yataendelea kupangwa si mnajizima data,,uwezi kurusha mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo utatandikwa mpaka uchakae,,Hakika ila si aibu kwa aibu kama ya leo hata mtoto anajua matokeo uamepangwa!
Kwani huko kimataifa mkishonesha mijezi yenu halafu hakuna pa kuivalia hatua za mwanzo tu mnabutuliwa sisi tunakuwepo!Na yataendelea kupangwa si mnajizima data,,uwezi kurusha mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo utatandikwa mpaka uchakae,,
Jumatatu - Timu nyingi zikicheza na Yanga huwa dhaifu
Jumanne - Wanakaa kileleni kama status za WhatsApp
Jumatano - Yanga imeshuka kiwango msimu huu
Alhamis - GSM anaharibu LIGI
Ijumaa - Msimu huu ni ubaya ubwela
Jumamosi - Bado tunajenga timu
Tumebutuliwa mara ngapi? Kwanza inabidi uwe na aibu kidogo usijidhalilishe hapa,,michuano uliyopo wewe ya Asante Mosepe yanga kacheza fainali sio iyo robo yako unayotambia,,bado yanga anazo medali za mshindi wa pili,,alafu yanga kutolewa hatua ya makundi klabu bingwa ni sawa na kutolewa hatua ya nusu fainali kwenye icho kikombe chako cha kahawa kwaiyo kuwa na heshima!Kwani huko kimataifa mkishonesha mijezi yenu halafu hakuna pa kuivalia hatua za mwanzo tu mnabutuliwa sisi tunakuwepo!
Kwi kwi kwi ushauri wa bure ikiandaliwa supu kaunda wahi ile ya mapema ukikombereza jungu supu ya mwisho matokeo ina athiri ubongo....hujui unachataka kusema.Tumebutuliwa mara ngapi? Kwanza inabidi uwe na aibu kidogo usijidhalilishe hapa,,michuano uliyopo wewe ya Asante Mosepe yanga kacheza fainali sio iyo robo yako unayotambia,,bado yanga anazo medali za mshindi wa pili,,alafu yanga kutolewa hatua ya makundi klabu bingwa ni sawa na kutolewa hatua ya nusu fainali kwenye icho kikombe chako cha kahawa kwaiyo kuwa na heshima!
Tuonyeshe medali yako uliyopata kwa kushiriki michuano ya kimataifa bwana mwakaroboKwi kwi kwi ushauri wa bure ikiandaliwa supu kaunda wahi ile ya mapema ukikombereza jungu supu ya mwisho matokeo ina athiri ubongo....hujui unachataka kusema.
Nenda klabu utaiona hapa mimi sina!Tuonyeshe medali yako uliyopata kwa kushiriki michuano ya kimataifa bwana mwakarobo
Ovyo kabisa🚮🚮🚮Nenda klabu utaiona hapa mimi sina!
Utakuwa matatizo wewe sasa unajivunia medali za asante MotsepeTumebutuliwa mara ngapi? Kwanza inabidi uwe na aibu kidogo usijidhalilishe hapa,,michuano uliyopo wewe ya Asante Mosepe yanga kacheza fainali sio iyo robo yako unayotambia,,bado yanga anazo medali za mshindi wa pili,,alafu yanga kutolewa hatua ya makundi klabu bingwa ni sawa na kutolewa hatua ya nusu fainali kwenye icho kikombe chako cha kahawa kwaiyo kuwa na heshima!
Nawe umeandika moshi wa supu una kusumbua holi limefungwa dakika 4 za nyongeza!Shoot on target 0 halafu ubao unasoma 2:1. Unajua kwanza maana ya shot on target?
Medali anaonyesha bingwa sio mabati yanakamatwa na sumaku tetenasi tupu!Ovyo kabisa🚮🚮🚮
Ata ayo mabati yanayokamatwa na sumaku wewe auna,,ulichonacho ni waganga wa kienyeji waliokutuma ukachome uwanja afrika kusini na bado ukagongwa vile vile!Medali anaonyesha bingwa sio mabati yanakamatwa na sumaku tetenasi tupu!
Kwa hiyo simba alivyokuwa anatolewa robo klabu bingwa, inamana alikuwa anabeba kombe la asante Motsepe kabisa. Jaribu kupenda mpira na si klabu.Tumebutuliwa mara ngapi? Kwanza inabidi uwe na aibu kidogo usijidhalilishe hapa,,michuano uliyopo wewe ya Asante Mosepe yanga kacheza fainali sio iyo robo yako unayotambia,,bado yanga anazo medali za mshindi wa pili,,alafu yanga kutolewa hatua ya makundi klabu bingwa ni sawa na kutolewa hatua ya nusu fainali kwenye icho kikombe chako cha kahawa kwaiyo kuwa na heshima!
Ndio maana yake,,Mimi nimetumia lugha nzuri kuliko aliyoitumia katibu wenu kaduguda kwamba ni michuano ya wakinamama!Kwa hiyo simba alivyokuwa anatolewa robo klabu bingwa, inamana alikuwa anabeba kombe la asante Motsepe kabisa. Jaribu kupenda mpira na si klabu.
Sijui Machi 8 utakuja na lipi baada ya kuchapikaYanga ni kikundi cha wahuni ni kwavile tu hakuna kitengo cha ushugjulikiaji upangaji wa matokeo.