Pongezi kwa ma it.

mosara

Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
20
Reaction score
4
kweli wale wote ambao ni ma-it pongezi kwenu, your job is great!!! Nashukuru sana sana, japo sija unlock my phone, ila natanguliza shukurani za ukweli, from my heart. i am going to unlock it through the it advices. Pia nimepewa very good and technical reply with samsung tab, how my contact names can display to the phone, read my thread : Inanichanganya samsung tab!!? Big up all it.


inasikitisha, kweli sijamtukana yeyeto, wala sina dharau, kwa wale waliyeona mm ninadharau huo ndio uwelewa wao na tafsiri yao. Bungeni ndio kuna matusi, engelikuwa nimetukana ningeliomba msamaha kwa wadogo na wakubwa. mm ndio nimetukanwa na baadhi ya wa jf, ila nimewasamehe. Pia kutangulia bar sio kulewa pombe, ww uliyetangulia humu ongera na sisi tumo.

Yeto shukurani sana kwa ma it.
 
Yaelekea kwako neno msamaha ni msamiati mgumu kwako!!!
Mimi pamoja na kumpa changamoto Paje bado ninamkubali mia mia na hakuna siku niliyothubutu kumtukana.
Ujue kutukana siyo mpaka ulitamke tusi lenyewe bali kauli yako tu yatosha kuwa tusi tena kubwa mno unaposema "hatuna ma IT wa ukweli" alafu unawaomba msaada hao hao unategemea nini?
Cha msingi hacha kuzunguuka we Sema nimekoma sirudii tena utasamehewa kiroho safi vinginevyo wataona unawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Last edited by a moderator:
Unaomba msamaha??
Au unaponda??
Au unalalamika??
Au unajikosha tuu...
Sielewi mada yako inasumbua na kuchanganya mno...
 
Sisi jana tulikuwa tumakufunza jinsi ya kuishi kwenye jukwaa hili ila nashukuru kwa kutambua ulipojikwaa nadhani siku nyingine utakuwa mstaarabu
 



Kweli watu tunatofautiana ,hv mtoto humu ndani ni nani? "NASIKITIKA HATUNA MA IT WA UKWELI " hv wewe unaona hapa hakuna kosa kwa ma IT wa tanzania. Maana ya sentensi hii ni kuwa hapa tanzania ma IT ni wababaishaji,sasa wewe unaona ni sawa? Waliokupa msaada walikusamehe kwanza ,acha hizo kijana hapa kuna taaluma na si siasa
 
Wewe unacheza,baada ya kuponda watu wa IT kwenye post yako "inasikitisha hatuna ma IT wa ukweli" tukakukosoa.Ungekuwa mwelewa ungeomba msamaha kwenye hiyo post ,leo unaanzisha post nyingine unazani tuna akili za kuku?
Learn to say "I am sorry or I beg your apology".
Ukikubali kwa kinywa chako,na kukiri moyoni mwako kwamba umewakosea watu wa IT may be watakusaidia otherwise tusichoshane.
Hatuna mikataba ya kusaidiana, so why should it be a big deal?
 
napendekeza huu uzi upelekwe jukwaa la malalamiko.!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…