Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,298 Reaction score 89,407 Jun 25, 2022 #21 SHARIFUs said: Inakuaje isiwe na madhara mkuu, na tunaona tuna jamaa zetu wakiwa hawajalewa niwastarab mno...akivisha tu anafanya vitu visivyotegemewa. Click to expand... Hiyo ndio tabia yao. Sema tu mkiwa hamjalewa mnaona aibu. Ni kama kusema pesa inabadirisha mtu tabia. Hapana. Ile ni tabia yake, sema umasikini ni kama screen protector.
SHARIFUs said: Inakuaje isiwe na madhara mkuu, na tunaona tuna jamaa zetu wakiwa hawajalewa niwastarab mno...akivisha tu anafanya vitu visivyotegemewa. Click to expand... Hiyo ndio tabia yao. Sema tu mkiwa hamjalewa mnaona aibu. Ni kama kusema pesa inabadirisha mtu tabia. Hapana. Ile ni tabia yake, sema umasikini ni kama screen protector.