Huyo sio mama ni baba huoni sura yake kama mzee mallya ....kauli yake ni ya kijambazi anamlinda fatmaBaada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.
Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo ?
Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao ?
Je kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA ?
Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki
MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.
Je polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema ?
Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.
POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.
Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO ?
kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?
Huyu mama anaonewa bure.
Mko naye kwenye group lenuBaada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.
Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo ?
Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao ?
Je kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA ?
Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki
MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.
Je polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema ?
Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.
POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.
Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO ?
kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?
Huyu mama anaonewa bure.
Umeagizwa au umetumwa uandike?Baada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.
Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo ?
Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao ?
Je kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA ?
Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki
MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.
Je polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema ?
Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.
POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.
Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO ?
kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?
Huyu mama anaonewa bure.
barua ya kumtengua RPC ilisema kwamba WANAFANYA UCHUNGUZI KUTAFUTA USAHIHI WA KAULI HIYO.wewe unaweza kuchunguza Kuliko IGP?ukiona hivyo IGP aliomba mahojiano yote sababu chombo cha habari kiliweka rekodi ya mahojiano.
Bila hivyo ungesikia mwandishi wa habari yuko polisi kwa uchochezi
.
Kwani yule dada aliyefanyiwa ukatili tunapomsemea unadhani yeye hana uwezo wala kifaa cha kuandikia na kujisemea mwenyewe ?Umeagizwa au umetumwa uandike?
Kwani yeye mwenyewe Hana kifaa Cha kuandikia ?
Sasa we umewahi kuona wapi mtu anachunguzwa akiwa kwa ofisi yake anahudumu?barua ya kumtengua RPC ilisema kwamba WANAFANYA UCHUNGUZI KUTAFUTA USAHIHI WA KAULI HIYO.
barua ya kumtengua na kudai wanafanya uchunguzi ni moja.
Wewe unaedai kwamba IGP alifanya uchunguzi aliufanya lini wakati barua ya kutengua ilikuwa imeambatana na kudai wanaendelea kufanya uchunguzi ?
Hayo yote yatotelewa baada ya uchunguziBaada ya sintofahamu ya ripoti iliyotolewa na gazeti la mwananchi na kuinasibisha na kauli ya RPC dodoma,ghafla JESHI la polisi likaikana kauli hiyo na kumtengua u RPC.
Jeshi la polisi kwanza walitakiwa wadai UTHIBITISHO kutoka kwa gazeti hili kama kweli haya maneno RPC aliyasema,je polisi walifanya hivyo ?
Kama polisi ni law enforces mbona mambo logic kama haya hayafuatwi katika kuwawajibisha wenzao ?
Je kama wanashindwa kufuata utaratibu sahihi katika kuwawajibisha wenzao unadhani WATAWEZA KUFUATA UTARATIBU SAHIHI KATIKA KUWAWAJIBISHA RAIA ?
Raia tunafurahia RPC kutenguliwa je hatujui kama uamuzi huo wa polisi unaweza kutuathiri hata sisi kwa maana ulikuwa uamuzi wa kihisia na sio uamuzi wa kimantiki
MAgazeti tunayajua namna ambavyo ni hodari kwa kunukuu maneno wanayoyaona yatavutia biashara yao.
Je polisi wana uhakika gani kama yale maneno yule RPC kayasema ?
Hatujaona media yoyote ikiripoti na kuweka sauti ya yule mama RPC akiyazungumzwa yale yanayodaiwa.
POlisi wanapokanusha kwamba kauli hiyo sio ya jwshi la polisi kwani wapi huyo RPC kaisema kauli hiyo.
Kama waandishi ni waadilifu mbona hawajachapisha maneno ya RPC tuliyoyasikia wemyewe akisema kwamba HATA KAMA NI INASEMWA NI MALAYA HAKUSTAHIKI KUFANYIWA HIVYO ?
kama polisi wanashindwa kuwa na weledi baina yao,unadhani watakuwa na weledi kwa wananchi ?
Huyu mama anaonewa bure.
HIyo inatoa nafasi kwa wapuuzi kuzusha upumbavu huku ikiwa lengo la wazushi hao ni kutaka utolewe nafasi uliyopo.Sasa we umewahi kuona wapi mtu anachunguzwa akiwa kwa ofisi yake anahudumu?