Mke wangu aliibiwa simu bahati nzuri tukamkamata mwizi tumepeleka kituoni akakiri kabisa niliiba kweli na simu bado ninayo nikamuambia polisi basi tufate simu yangu polisi ataki nikaona nisilazimishe sanaPolisi ni wezi Sana wale jamaa ,kuna jamaa alienda kuripoti polisi kaibiwa TV akawa anamuhisi mwizi wake akawaambia Polisi.
Polisi kweli wakamkamata yule jamaa wakambana hadi akaenda onyesha TV ilipo.
Polisi baada ya kuipata TV ya mshkaji nao wakaiiba , hawakumpa jamaa TV yake , jamaa alifatilia had I kwa mkuu wa kituo lakini wapi
Waa na jamii leo naleta mada ambayo ni kero yangu na nina imani wapo wengine.
Ni kuhusu polisi na vyombo vya moto vya raia, gari na pikipiki.
Inapotokea umepata ajali au tatizo mfano umegonga na gari ikalazimika kubaki kituo cha polisi, basi kadri inavyoo kaa pale ninageuzwa skrepa. Ukifata gari baada ya kesi , say 2 weeks unakuta redio hamna, AC imebadilishwa, indicator hazipo yaani mradi vururu, ukiwauliza wanakuwa wakali kama pilipili. Hivi gari ipo kituoni mtu wa nje anawezaje kuiba redio. kuna mtu aliwahi kunibia alikuta gear box mbovu na imelegea haijakaza vizuri. Kwa mwendo huu tutaanza kurogana tuaafande, niwaambie kabisa. umeiba changu nakupa visa unaenda dampo au nakutoa kikojoleo. Na usiseme eti Mungu yupo, yupo ila sio kwa ajili yako we uibe cha mtu afu utegemee Mungu. Shwaini nyie. Natoa mtu nyeti kwa kweli ataamka hazioni usawa huu tuanze kununulishana redio na ac ya gari wakati ngoma imekuna kituoni iko mayai kabisa.
Mtanisamehe ndugu wa wahusika.
Kuanzia mkuu wao hadi hizi chenga,wote ni wezi[emoji2902]Polisi ni wezi Sana wale jamaa ,kuna jamaa alienda kuripoti polisi kaibiwa TV akawa anamuhisi mwizi wake akawaambia Polisi.
Polisi kweli wakamkamata yule jamaa wakambana hadi akaenda onyesha TV ilipo.
Polisi baada ya kuipata TV ya mshkaji nao wakaiiba , hawakumpa jamaa TV yake , jamaa alifatilia had I kwa mkuu wa kituo lakini wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mke wangu aliibiwa simu bahati nzuri tukamkamata mwizi tumepeleka kituoni akakiri kabisa niliiba kweli na simu bado ninayo nikamuambia polisi basi tufate simu yangu polisi ataki nikaona nisilazimishe sana
Nikaondoka zangu kesho yake narudi kituoni naambiwa simu ilifatwa kweli eti imepotea kituoni tena