hawa ndo wanaojulikana kwa kiswahili "waunda sera" kazi yao ni kupika majungu na kutengeneza matukio mapya kila uchao ili kupoteza concentration za watu kwenye jambo moja. ni kitengo makini na kinatunzwa vizuri na "mwenye kaya"
hawa ndo wanaojulikana kwa kiswahili "waunda sera" kazi yao ni kupika majungu na kutengeneza matukio mapya kila uchao ili kupoteza concentration za watu kwenye jambo moja. Ni kitengo makini na kinatunzwa vizuri na "mwenye kaya"