Police wa KIDIGITALI zaidi,

Nsharudi, na kidole changu kina risasi, ila si risasi za kuua

Ni risasi za kuunda watoto tu, natasaka wa kuumua nacho

Tulikumiss muda yakhe! Kunkwisharudi Ntwara?
 
Kwa hiyo unanipiga sound?
King'asti njoo ushuhudie nazalilishwa hazarani na mjukuu wangu

Kuna mateka, kuna kaka shemeji, niongeze mjukuu?

Kila shetani na mbuyu wake na hakuna maiti anaekosa mzishi!
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka hapa kazini wee acha tu!!!...Dah!!!

Tuko wengi, wandugu.... Asnam, BADILI TABIA, Blue G, Bujibuji, dunia tunapita, Gama, grafani11, IGWE, King'asti, Kongosho, MadameX, Mbuzi Mzee, Mkereketwa_Huyu, MziziMkavu, Nasema, neggirl, nyakashenyi, Preta, Q Man, Safari_ni_Safari, Twande, watu8
GOODMORNING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…