lendila JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 5,805 Reaction score 4,374 Jun 19, 2015 #1 swali la kipima joto linauliza watangaza nia kuomba urais kuahadi kuwapeleka watanzania katika nchi ya uchumi wa kati ifikapo 2025 je kuna misingi na mazingira wezeshi kufanikisha mapinduzi haya ya kiuchumi kwa hali halis?
swali la kipima joto linauliza watangaza nia kuomba urais kuahadi kuwapeleka watanzania katika nchi ya uchumi wa kati ifikapo 2025 je kuna misingi na mazingira wezeshi kufanikisha mapinduzi haya ya kiuchumi kwa hali halis?
M mangola JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 679 Reaction score 203 Jun 19, 2015 #2 Hahaha, ulikuwa unawahi kuweka hii mada wa kwanza!?!? SHWALI
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,548 Jun 19, 2015 #3 Kwa kuwa ushawahi kupost edit kidogo basi
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jun 19, 2015 #4 lendila ni Swali sio Swali Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tarime one JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 2,246 Reaction score 1,742 Jun 19, 2015 #5 Huyu polepole yuko vizuri sana,ccm mchukueni huyu awavushe.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jun 19, 2015 #6 Tarime one said: Huyu polepole yuko vizuri sana,ccm mchukueni huyu awavushe. Click to expand... Huyu ni kada wa ccm mkuu labda wamkane kwa kusema ukweli
Tarime one said: Huyu polepole yuko vizuri sana,ccm mchukueni huyu awavushe. Click to expand... Huyu ni kada wa ccm mkuu labda wamkane kwa kusema ukweli
lendila JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 5,805 Reaction score 4,374 Jun 19, 2015 Thread starter #7 makada wa aina hii ccm hawakubaliki kabisa kama unabisha angalia kama watampitisha makongoro nyerere
CHENGU MANURE JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 914 Reaction score 567 Jun 19, 2015 #8 pole pole yuko vizuri. anabig brain
R ROMAN REIGNS Member Joined Apr 24, 2015 Posts 30 Reaction score 3 Jun 20, 2015 #9 Jana mwenzet ana faha kua kiongoz bac tum shawishi agombe nafac yoyte
1 1954tanu JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,038 Reaction score 487 Jun 20, 2015 #10 ROMAN REIGNS said: Jana mwenzet ana faha kua kiongoz bac tum shawishi agombe nafac yoyte Click to expand... Hata mwanafunzi njuka wa MEMKWA anaweza andika vizuri akaeleweka kuliko weye ulivyoandika. Duh!
ROMAN REIGNS said: Jana mwenzet ana faha kua kiongoz bac tum shawishi agombe nafac yoyte Click to expand... Hata mwanafunzi njuka wa MEMKWA anaweza andika vizuri akaeleweka kuliko weye ulivyoandika. Duh!
D Dik JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,205 Reaction score 416 Jun 20, 2015 #11 Akigombea kupitia CCM simpi kura mie. Atakuwa amejiweka chini ya mwavuli wa wezi na automatikali atakuwa mwizi
Akigombea kupitia CCM simpi kura mie. Atakuwa amejiweka chini ya mwavuli wa wezi na automatikali atakuwa mwizi