Polepole: Cheche zangu hizi hapa

Kwani walioingia hiyo mikataba ni wapinzani, ni hao hao maccm sasa upinzani unaingiaje hapo, maccm bhana sijui yakoje
Labda watuambie ni mwaka gan hii nchi ilishawahi ongozwa na chama tofauti na TANU na CCM ambao ndo waliosaini hiyo mikataba kupitia viongozi wao Leo hii et tunatafuta aliyeturoga wallah tumeisha
 
Nenda argentina ukaangalie mikataba yao...
Yani nikaulize mkataba wa Barrick na Argentina wakati mkataba wa Barrick na serikali yangu mwenyewe ni siri?

Oyaaa, unaniona kama mimi ni 'kong'olo' nini?
 
Mbona mkalimani alikuwa nyuma ya Thornton akitafsiri lakini kwa macho yako ya kibavicha hukumuona?
 
Unajua kuna mambo nchi hiiiiii.....
Yani nchi inaendeshwa kama familia ya mlevi fulani hivi!
Yani baba kapewa ahadi bar akiwa amelewa, na yeye ndio anaisubiria aendeshe familia, sijui hiyo ahadi ni ya kweli kwanza?
Na kama isipotekelezwa kama kuna uhalali wa kuidai?
 
Magufuli ni level nyingine muda utaongea, kama issue ya madini ameiweza basi hatashindwa na kitu chochote tumpe ushirikiano tu Tanzania itafika mbali.
itafika mbali kwa kwenda mbele au nyuma, hivi mna familia kweli kabisa nyunbani zinawategemea, hahahah hata wewe Ni kichwa cha familia eti.
 
Binafsi nilifikiri ufafanuzi wa Prof Kabudi umejitosheleza, ninachohofia " miluzi" mingi isije ikampoteza mbwa. Kidumu Chama cha Mapinduzi!
 
Maskini Polepole amegeuka kua Tatizo kubwa hivi
 
Yani nikaulize mkataba wa Barrick na Argentina wakati mkataba wa Barrick na serikali yangu mwenyewe ni siri?

Oyaaa, unaniona kama mimi ni 'kong'olo' nini?
hahaahaha,pole mkuu anakuona unazo zakuvukia barabara tu....
 
Kwani huyu kijana amekuaje jamani..kwa mwendo huu bora angebaki tu kimya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…