poleni wana simba

BSL

Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
86
Reaction score
98
poleni sana wana simba na wapenzi wa mchezo wa mipra, pamoja na kufungwa na TP MAZEMBE bado tunaweza kucheza tetema ila kuwa mshabiki wa mpira inahitaji kuwa na moyo wa chuma preshaaaaaaa
 
Wapigwe tu hamna namna Wana nyodo sana kama wacheza segere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…