Yaani KAMA DP ni Wewe, DahPoleni nyie mi naona
Hapo kwenye simu ya TTCL umenikumbusha mbali sana, zilikuwa zinajengewa kibox, tuliyokuwa wataalamu tulikuwa tunatuma kijiko kubonyeza. yani tulikuwa tumekalili mkao wa namba. aah zamani raha sana.Sisi date zetu hazikuwa na gharama, mawasiliano ya barua. Unnandika barua kwa Asprin unampa housegirl wenu aipeleke akifika kule anakutana na houseboy was nao wanatongozana. Hubs haja ya vocha ya simu.
Msure akitoka ndiyo una Kirovabad simu ya TTCL Enti zile unazungusha namba. Unamfahamisha kuwa Jumamosi ile picnic haitawezekana Msure ameamua kuwa mnakwenda Kiluvia shamba wakati ule kote kule ilikuwa ni mapori.
Hakukuwa na instagram urushiwe picha ya Sakayo amepose na Asprin lakini waliowaona watakupa details kama unaangalia movie
Usiishie kuota njoo unione live usuuze machoYaani KAMA DP ni Wewe, Dah
Yaan mnapangiana muda maalum wa kupiga ukikosea muda mara kapokea mama au baba sasa kimbembekutongozana kwenye simu za ttcl zile za kuzungusha ilikuwa mwake sana!!
hahaha sana..Yaan mnapangiana muda maalum wa kupiga ukikosea muda mara kapokea mama au baba sasa kimbembe
Sio siku hizi eti unampigia mwenyewe!
ππππUkijua ni mida ya simu yako huchezi mbali na ukipokea unsishia kuitikia mmh, sawa, basi kwaheri