Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Ainu niitoe wapi mimi Ciprofloxacin? mimi ni Dawa ninayetibu magonjwa yaliyoshindikana yasababishwao na Bacteria, mimi ni Dawa tu, aibu ataipata muhusika aliyekuwa akichapiwa.Mambo ya mapenzi ni yakuwaachia wenyewe unaweza kusema hivyo wakaja kurudiana ikawa aibu kwako
Kwa hiyo Flora Mbasha kawa jamhuri anakata rufaa kwenye kesi za jinai siku hizi?Watu wanaoona mbali walijua tu kuwa mbio zako ni za sakafuni.
Ulimtenda mumeo na ukataka afungwe, na hata aliposhinda kesi hukuridhika ukaamua kukata rufaa.
Bahati nzuri ulichelewesha ndo ikawa pona pona ya Mbasha lakini lengo lako lilikuwa ni kuhakikisha kuwa mumeo asiye na hatia anafia jela, nakumbuka vyema, ulivyo kuwa umepania Kwa kweli Mbasha alinitia huruma Sana kipindi kile.
Ukamdhalilisha Sana hadi kufikia kuzaa nje ya ndoa yako.
Naam, ilikuwa ni kazi ya Lucifer, jamii nzima imeshakudharau Kwa matendo yako.
Biashara yako ya muziki wa injili haiwezi kuwa na soko tena maana jina lako ni baya Sana mitaani.
Baada ya kukutumia atakavyo Hatimae Lucifer amekubwaga, unakumbuka shuka pamekucha eti unataka kurudiana na mumeo, bahati nzuri naye kashtuka hakutaki kabisa maana hatosahu matendo yako, eti unawafuata wachungaji wakusaidie, Kwa lipi?
Pole Sana dada yangu huyo ndo Lucifer, amekulaghai na kukuacha njia panda.
Eti sio wa kudumu?! KwendraaaaaaaaTeh,teh,teh,namshukuru Mungu baba Wa mbinguni aliyeniumba mwanaume! Nawapongeza wadada wanaojitambua,! Kamwe Nazi haiwezi shindana na jiwe... Uzuri na urembo wa mwanamke sio Wa kudumu ubaya Wa mwanaume haujawahi kosa thamani...!! Ivumayo haidumu.. !!! Ni suala la muda tu..!! Utagundua umaarufu hausaidii. Bali huponza...!! Hongera Emanuel Mbasha..muda umeongea endapo hayo ni ya kweli.
Ahsante mkuuKaribu mkuu!! Karibu Ntyuka.
"Time heals"walisema.Teh,teh,teh,namshukuru Mungu baba Wa mbinguni aliyeniumba mwanaume! Nawapongeza wadada wanaojitambua,! Kamwe Nazi haiwezi shindana na jiwe... Uzuri na urembo wa mwanamke sio Wa kudumu ubaya Wa mwanaume haujawahi kosa thamani...!! Ivumayo haidumu.. !!! Ni suala la muda tu..!! Utagundua umaarufu hausaidii. Bali huponza...!! Hongera Emanuel Mbasha..muda umeongea endapo hayo ni ya kweli.
Mbona wewe umekubali kunirudia? TehShetani hana adabu.....hapa sitii neno...mbasha akikubali warudiane nitaaibika
Sababu nakupenda na hilo walijua mpenziMbona wewe umekubali kunirudia? Teh
Una uzoefu wa hilo najua"Time heals"walisema.
Mbasha ana subira sana.
I do appreciate mpenzi.Sababu nakupenda na hilo walijua mpenzi
Yes my dear.Una uzoefu wa hilo najua
Usje kunitenda kama mbasha jmnI do appreciate mpenzi.