Kumbuka Man City walikuwa na viungo wengi wanaocheza karibu karibu.
Wakati Man U walikuwa na viungo wachache wanaocheza mbali mbali. Angalia Space iliyokuwepo kati ya Fellaini, Pogba, Micki, Lingard na Rooney utaelewa.
Wenzake walim isolate peke yake kati ya dimba, ikawa inabidi alazimike ku drible ili kuwafikia. Hiyo ilimfanya kuchoka mapema.
Mpira ni ushirikiano, ndicho walichotuonyesha City leo. Huwezi kufanikiwa kwa kutumia mchezaji mmoja mmoja.
At least Herrera aliongeza balance pale katikati kabla ya Pep kuua game kwa kumuongeza Fernando.
Mou anapaswa aanze kumuamini Herrera ili kumsaidia Pogba, Fellaini ni mrefu, ana maguvu, lakini hawezi ku cover space kubwa kusaidia wenzake.
Pia, ni muda muafaka kumchezesha Smalling kwa sababu Blind ameanza kurudia makosa ya last season, si mzuri kukaba (timu ikiwa under pressure).
Pogba "The Slow but Sure man"
Still nina Imani, ndo game zinaanza.
Pogba akikaa 6 ndio mtamchukia zaidiNakubaliana na ww mkuu, pogba akae 6 af herera 8, fellain mzito mno, halaf smalling na baily pale nyuma
Amadoli man city n noma. Wamepiga pasi nyingi sanaBarcelona imehamia uingereza au? Maana si kwa mipasi ile yaan kampa kampa tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakubaliana na wewe mkuu. Pogba acheze namba 10Yap, Pogba alikuwa mzuri sana kule Juve alipocheza namba 10 mbele ya akina Marchisio. Hata Morgan anaweza kucheza hiyo namba 6, Pogba akasogea nyuma ya Ibra ... Rooney hana kasi tena, apumzike, abaki kusaidia.
Yap, Pogba alikuwa mzuri sana kule Juve alipocheza namba 10 mbele ya akina Marchisio. Hata Morgan anaweza kucheza hiyo namba 6, Pogba akasogea nyuma ya Ibra ... Rooney hana kasi tena, apumzike, abaki kusaidia.
Pogba hastahili thamani ya pound million 100,ni mchezaji wa kawaida tu
Aje huku GreenCity ajiunge na Mbeya City FCPogba hastahili thamani ya pound million 100,ni mchezaji wa kawaida tu
Hahahaa! Ila naskia huyo jamaa ni Gwangambo sana! Namaanisha anapenda kutumia Ngambo Ngali sijui ni kweli?Aje huku GreenCity ajiunge na Mbeya City FC
ZAMANI alikuwa anafanya KAZI kwenye machine ya MwalalikaHahahaa! Ila naskia huyo jamaa ni Gwangambo sana! Namaanisha anapenda kutumia Ngambo Ngali sijui ni kweli?
Pogba hastahili thamani ya pound million 100,ni mchezaji wa kawaida tu
Pogba hastahili thamani ya pound million 100,ni mchezaji wa kawaida tu
Biashara ipi mkuu?? Nje ya uwanja au ndani? Kama ni nje ya uwanja man wanakula faida saizKama kuna biashara ya hasara manure wameifanya basi hiyo ya kumnunua porkba kwa hizo pesaa ndefu.
Acha kuifananisha man City na vitu vya kipumbavu wewMan city ni kama Simba ya Msimbazi
Gadiola sio mtu mzuri kamfanya pogba kaoneka kama felaini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha guardiola awanyooshe.....na hapo bado timu haijafikia level anayotaka
Hahah man u wakiwa na pasi 103 city walikuwa na 197 mkononi! Tofauti ilikuwa kuwa sana na city walikuwa na chances kibao ambazo hawakuzitumia vizuri! Walahi Sergio Kun Aguero angekuepo man u wangechapwa almost 6-1!! Mourinho leo tungesikia anaenda kuinoa Tp mazembe! Angetimuliwa ulaya!Barcelona imehamia uingereza au? Maana si kwa mipasi ile yaan kampa kampa tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha utani, pale jirani na karakana ya RETCO na yard ya SUMRY!? Kweli milima haikutani...!ZAMANI alikuwa anafanya KAZI kwenye machine ya Mwalalika