Paul Pogba kiungo mshambuliaji wa timu ya mpira ya Premier league ya uingereza Kanyoa upara mechi ya leo wanayocheza sasa hivi dhid ya Tottenham wako halftime. Manchester inaongoza 2-1 yote yakifungwa na Ronaldo na hilo moja la Tottenham likifungwa na Harry Kane.
Je Pogba kafiwa ndo maana kanyoa upara? Hajawahi Kunyoa upara.
Au anaomboleza Wayukrein wanavyouwawa na Putin?