Pochi ya bastola kwa bei rahisi.

Natafuta pochi ya bastola kwa bei rahisi kwa anayejua ninapoweza kupata.
Hizo mkuu wala sio za kuhangaika mbona mafund hasa wale wanao tengeneza viatu na kushona mikoba ile yakina mama na wallet huwa wanaishona tena inakuwa imara kuliko hata ya dukani maana wanatumia ngozi pure kabisa

mimi nilishona kwa hao jamaa nilielekezwa na mh. Fulan( ) nikaenda nayo nika muelekeza ninavyo taka akaipima akanishonea mkoba murua kabisa na walio wengi wamesha fanya hivyo baada ya kuuona wakwangu.

La msing sana hakikisha unamiliki silaha kihalali na silaha yako haihusiki kuvunja sheria kama yule mpuuzi wa kwenye tukio la Nape.

NB: sio kwa mafundi viatu hawa wanao repair hapana bali ni wale wanao tengeneza viatu/kuunda kabisa na wana mashine pale kwa kazi hiyo
 
Asante mkuu
 
Wanatengeneza na za SMG?.. nataka moja ya AK 47.
 
Nenda tanganyika arms wana holser nzuri sana haswa zile za begani na mgongoni. Za spesho caterpillar. Ila hizi za kiunoni tengeneza za ngozi km ulivyoelekezwa na mdau hapo juu kwa mafundi.

Pia nilishaziona katika banda la magereza kwenye maonesho ya 8/8
 
Mm nahitaji rocket launcher ili akija mtekaji nimwashe....
 
Zinapatikana pia za mifuko ya rambo kwa anayehitaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…