PM yangu ina ukame kinyama

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Fanyeni kuja kunisabahi ata kinafiki basi mbona tunaoneana hivyo .


Ata na mimi nina haki ya ku PM miwa kama wengine kuweni na huruma nyie wadada wa JF.
 
Kwamba PM yako ni mahususi kwa wanawake....ndo maana mnakosa madili hhahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…