Nakuunga mkono kumuacha pluijm ni makosa makubwa sana kwani ndio kocha aliyetupa ujasili wanajangwani hatakama tukicheza na timu kubwa kias gani bado tunajipa moyo wa ushindi sio huyu wa sasa simuelewe hatakidogo anatoa beki anaingiza mshambulia tena acheze beki IPO siku atatoa kipa sijui atamuingiza kiungo?