Plots fro sale- Ununio Beach

Plots fro sale- Ununio Beach

badspender1

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
74
Reaction score
6
Viwanja viwili Vinauzwa vipo Ununio Beach/Mahaba beach.

Vina ukubwa wa sqmt 1300 kila kiwanja. Vipo karibu kabisa na Bahari (Plot ya 3 kutoka beach)
Vyote vina hati.

Price: Tshs 200m
Contact: 0765 178 494
 
Hebu fafanua hizo sqm 1300 zimekaaje. Yaani marefu mita ngapi na mapana mita ngapi?
 
Kuna kiwanja beach plot ekari 5 kina title bei 1 B kwa anayehitaji ani PM
 
Dah,
Ni inflation au nini? Mbona kama sielewi elewi??
 
Huku watu huwa wanapigwa sana.... Mitaa hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom