Mkuu ningekuona mstaarabu kama ungemuelekeza unajuaje kama amekosea kuweka s hapo kwenye plot ??Ina maana wewe unavyoandika kiswahili humu jamiiforums huwa hukosei kabisa hata herufi moja?Huwa unaandika vizuri kabisa hata kama umekosea kwa bahati mbaya??kwa hiyo tukiona hivyo tukuite hujui kiswahili au tuseme bahati mbaya??Tujaribu kusaidiana na sio kupondana eti kama hajui kingereza aongee kiswahili.............Hatutafika kwa mpango huu!!