Plot nzuri inauzwa bunju B

Plot nzuri inauzwa bunju B

ishedaddy

Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
24
Reaction score
0
Plot nzuri yenye miguu 28/25 inauzwa bunju b iko flat na haina korongo. Maji na umeme vipo. Si mbali kutokea bagamoyo road.
Price ni 5m tu. Ni plot yangu mwenyewe naiuza kutokana na uhitaji mwenyewe nilio nao.
Kwa mawasiliano zaidi
0713507487 / 0767507487
 

Attachments

  • 1398588481542.jpg
    1398588481542.jpg
    99 KB · Views: 102
  • 1398588525030.jpg
    1398588525030.jpg
    66.7 KB · Views: 87
  • 1398588571809.jpg
    1398588571809.jpg
    72.5 KB · Views: 90
Kimepimwa?
Kiko upande upi wa barabara?
Kinafikika kwa gari?
Vipi mvua ikinyesha maji hayaweki kambi hapo?
Hakina mgogoro, na kwanini unauza?
 
Back
Top Bottom