Andrometer
Member
- Feb 26, 2019
- 81
- 67
Nikatie 30*20 Nina 4m Hapa, cash ya fastaPlot/kiwanja chenye ukubwa wa 30×60 (1800 M^2) inauzwa madale karibu na secondary ya mbopo
umbali wa elfu 1 kwa bodaboda kutoka balabala ya Madale Tegeta
Umeme upo umbali wa mita 120
Gari linafika hadi kwenye plot
Kipo flati kabisa
Bei Tsh 22 million maongezi yapo
Mawasiliano 0716440258View attachment 1032546
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiamua Kukata viwanja vidogo vidogo utanistua please, Nipo tegeta hapa
Kiwanja ni 20 kwa 60
20 * 60 million 14
20*60 million 14 atakae wai...Ukiamua Kukata viwanja vidogo vidogo utanistua please, Nipo tegeta hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina hati?20*60 million 14 atakae wai...
HapanaKina hati?