Kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo juu plot yenye ukubwa wa mita 12 kwa 15 inauzwa kwa fedha za kitanzania shilingi milioni nne tu.
Kiwanja chenyewe kipo karibu na shule ya upeo english medium Mbande jijini Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0753868912
Kisha tambaa
Majanga!
Wewe si ndio muuzaji sasa? Huyo aliekwisha tambaa ni nani??
Kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo juu plot yenye ukubwa wa mita 12 kwa 15 inauzwa kwa fedha za kitanzania shilingi milioni nne tu.
Kiwanja chenyewe kipo karibu na shule ya upeo english medium Mbande jijini Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0753868912
'jibu ulilotoa linaendana sana na jina lako Utingo ndo majibu yao yapo kama hivi yani haina haja ya kuuliza ulivyo coz maneno yanakuakisi nje na ndani haya ndugu yangu endelea kutinga tu'