Angalizo tu
kwa watakaonunua kabla ya kununua chukua docs nenda moshi municipal ukahakikishe ni jina lake ??mhusika samahani kwa angalizo jonathani yalitaka kunitokea arusha yesu akaniokoa nilichukua mwaka kukanyaga arusha...
Usithubutu kuamini pale manispaa ya arusha wamejazana wahuni wa kutupa ....ni kahadithi kadogo ni liitiwa kiwanja na rafiki yangu kabisa kabisa ..sitaki kumlaumu kama alitaka kuniuza ama lah ni mungu ndie alietengua upuuzi ule...nikatakiwa kulipa kiasi kadhaa nikapelekwa kwa mama mmoja mwanasheria kwa ajili ya malipo...kabla sijafika nikapigia na kaka mmoja mates wa udsm kumbe yuko manispaa arusha nikamwambia niko ars nimekutafuta kweli sikuwa na namba yako...akaniambia waaiirishe waambie kesho hela imepungua...
Jioni nikaonana na yule br akanishauri kabla ya malipo niende ama nimtume mtu manispaa ya moshi kikionekana kule basi atanishauri ninunue ...asbh saa 4 nikamfwata br pale manispaa arusha ila saa mbili wife akaenda moshi na mapema...nilipofika ndugu zanguni mnaonunua viwanja nikakuta kila documents inasoma ya yule mhusika wa kiwanja kwa pale manispaa ya arusha..mbaya dada mmoja mweupe mnene yuko kwenye malipo akaniambia ngoja nikuprintie na bili aliolipa mwaka huuu nikawa nayo...
Kichekesho
jina lilikutwa moshi likuwa adam k maleko jina la jamaa alietaka kuniuzia anaitwa adam kakwira m..hii ndio ilioandikwa hati yake ..nikamwambia wife aaulizie apewe majina yote ya ile hati ilikuwa ni vituko
alikuwa anaitwa adam kilekia maleko...so ni kamchezo cha herufi ndicho walichocheza nacho kingine ikapishana namba ya hati iliokuwa pale arusha ni tofauti na namba ya moshi nikamwambia ampe alfu 15 akampigia copy alipokuja nalo saa nane kwa mwanasheria mhusika akuonekana akamleta jamaa yake
wakaishia porojo jamaa amesafiri ameomba wauziane jumatano walipoondoka yule mama mwanasheria akaonyeshwa upuuzi ule aksjifanya anashika mdomo wakati alikuwa anasisitiza malipo yafanyike na yuko radhi kusaini maana amejirishisha na hati ya jamaa ni halali
so just be carefull mtakaponunua viwanja si vya jonatahan tu hata pdidythan