Hehehe!! Bomoabomoa walisema wanapumzika mpaka mwaka mpya upite kuweni makini nahisi bado hawarejea kuendeleza kazi yao....hello!kiwanja kinauzwa mbezi ya Kimara,kituo temboni kabla ya kufika mbezi mwisho upande wa kushoto ukiwa unatokea ubungo,km 2 from morogoro road,ni nusu heka na bei!milion 13,hakina hati ila kina ile ya serikali ya mtaa!!contacts:0712882855.karibuni.
Aisee asante kwa kunikumbusha nilitaka niongea na mdauHehehe!! Bomoabomoa walisema wanapumzika mpaka mwaka mpya upite kuweni makini nahisi bado hawarejea kuendeleza kazi yao....