Plot 25*25 for sale

Plot 25*25 for sale

Mjomba Mkude

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
287
Reaction score
119
Heri ya pasaka wakuu,
Kuna vijiplot 25×25 na zaidi vinauzwa maeneo ya Bunju A. Bei inaanzia m 3, Mwenye kuhitaji naomba anipm tuwasiliane zaidi.
 
Weka number fasta nahitaji vi4 vya 25*25 (50*50).
 
PM huko ndo watu huwa wanaibiwa hebu njooni hapa
kuna taratibu za kufuata b4 haujanunua kiwanja.
1.kujua majirani wanaomzunguka na kumtambua kama ni mmiliki.
2.kwenda ofisi za serikali za mtaana na kuhakiki uhalali/mmiliki wa muuzaji.
3.Kwenda wizarani na kuhakiki kama eneo sio open space /soko/barabara/huduma as jamii bali liwe eneo la makazi.
 
taratibu zote lazima zifuatwe, na kimsingi usikubali kutoa hela pasi na usibitisho wa mamlaka ya serikali.
 
kuna taratibu za kufuata b4 haujanunua kiwanja.
1.kujua majirani wanaomzunguka na kumtambua kama ni mmiliki.
2.kwenda ofisi za serikali za mtaana na kuhakiki uhalali/mmiliki wa muuzaji.
3.Kwenda wizarani na kuhakiki kama eneo sio open space /soko/barabara/huduma as jamii bali liwe eneo la makazi.
hayo ndio maneno, pamoja na kupata coordinates za eneo hilo na kuchungulia kwenye mpango mama pamepangazwa matumizi yapi, hili jsmbo limekuwa siri kwa wengi, yaani mtu anaangalia digits za bei alafu anafakamia ardhi utafikiri togwa. Ardhi iogopwe kwa sasa, Usijitupe tu ukainunua bila utaratibu mahususi
 
wakuu Bunju A sio rahisi kupata plot 25 kwa 25 kwa bei hiyo ml 3 kwa hata huwe milioni 10 cash huwezi kupata 7bu hata mabwepande kwenyewe pesa hiyo kupata 15 kwa 10 mtihani unatafuta kwa tochi
angalizo mtauziwa kiwanja kimoja watu 50
kuweni makini kabla hamjafanya bussnes mm nilinunua plot bunju b 20 kwa 16
ni kama mita 300 au 250 toka bagamoyo road ni upande wa kushoto ukiwa unaenda bagamoyo nilinunua mili 8 hiyo ni mwaka 2013 mwishoni na hakija pimwa wala nini sasa hivi watu wanafika mpk 15mln lkn sijakiuza sembuse bunju A labda huko mapinga na ndanindani ndo hutapata kwa bei hiyo
yaan hapa nasikia harufu ya utaperi tu
kuweni makini

nb:-
hayo nimetoa tu maoni yangu
 
kuna taratibu za kufuata b4 haujanunua kiwanja.
1.kujua majirani wanaomzunguka na kumtambua kama ni mmiliki.
2.kwenda ofisi za serikali za mtaana na kuhakiki uhalali/mmiliki wa muuzaji.
3.Kwenda wizarani na kuhakiki kama eneo sio open space /soko/barabara/huduma as jamii bali liwe eneo la makazi.
Well said mkuu
 
wakuu Bunju A sio rahisi kupata plot 25 kwa 25 kwa bei hiyo ml 3 kwa hata huwe milioni 10 cash huwezi kupata 7bu hata mabwepande kwenyewe pesa hiyo kupata 15 kwa 10 mtihani unatafuta kwa tochi
angalizo mtauziwa kiwanja kimoja watu 50
kuweni makini kabla hamjafanya bussnes mm nilinunua plot bunju b 20 kwa 16
ni kama mita 300 au 250 toka bagamoyo road ni upande wa kushoto ukiwa unaenda bagamoyo nilinunua mili 8 hiyo ni mwaka 2013 mwishoni na hakija pimwa wala nini sasa hivi watu wanafika mpk 15mln lkn sijakiuza sembuse bunju A labda huko mapinga na ndanindani ndo hutapata kwa bei hiyo
yaan hapa nasikia harufu ya utaperi tu
kuweni makini

nb:-
hayo nimetoa tu maoni yangu
Mtu makini hawezi kutoa hela yake kihasara hasara.
Jamaa ameeleza vizuri taratibu za kufuata ambazo kimsingi hata huko wanafuata pia.
Hivyo aliye tayari anaenda anaona then atafanya maamuzi. Mimi mwenyewe nilioambiwa mwaka jana nlikuwa mbishi sana, sasa hivi, nna plot na nimeanza ujenzi.
Japo tahadhari ni muhimu.
 
Kwann ununue eneo ambalo hujui likoje kwenye ramani ya mipango miji? Je unamiliki eneo ambalo hujui kwenye mchoro wa mipango miji (Town planning drawing-TP) limetengwa kwa shughuli gani?
Karibu tukuchukulie details za eneo lako na ujijue eneo lako liko kwa ajili ya matumizi gani. Usije kununua au kujenga kisha baadae unaambiwa ni eneo la wazi au ni bondeni nk.
NiPM kama unahitaji huduma hii.
Asanteni sana.
 
Mmeshaambiwa sitisheni msitishe mazoezi kuuziana viwanja mpaka mpango mji mpya upite ila naona watu wanakurupuka tu harafu baadae muanze kuja hapa kuomba msaada kisheria!! WATCH OUT
 
wakuu Bunju A sio rahisi kupata plot 25 kwa 25 kwa bei hiyo ml 3 kwa hata huwe milioni 10 cash huwezi kupata 7bu hata mabwepande kwenyewe pesa hiyo kupata 15 kwa 10 mtihani unatafuta kwa tochi
angalizo mtauziwa kiwanja kimoja watu 50
kuweni makini kabla hamjafanya bussnes mm nilinunua plot bunju b 20 kwa 16
ni kama mita 300 au 250 toka bagamoyo road ni upande wa kushoto ukiwa unaenda bagamoyo nilinunua mili 8 hiyo ni mwaka 2013 mwishoni na hakija pimwa wala nini sasa hivi watu wanafika mpk 15mln lkn sijakiuza sembuse bunju A labda huko mapinga na ndanindani ndo hutapata kwa bei hiyo
yaan hapa nasikia harufu ya utaperi tu
kuweni makini

nb:-
hayo nimetoa tu maoni yangu
sasa mkuu kama pooltable imepigwa marufuku lazima vijana waopt trial and error.
Hakuna bei hiyo kiwanja Bunju A
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom