Please guys take note

jaman wadada hapa tunatofautiana sana.
Hayo Dena aliyoweka kwenye sredi yanatokea tu iwapo una mtu wako.Ukiachika hutamwona kidume aliyekuwa anakupa I LUV U I WANNA BE WITH U.
Wakaka wanapenda kula vinavyoelea na wanajua fika vimeundwa. Hawako tayari kuunda vya kwao bali wanatamaa sana kumega vya wenzao.
Wake za watu hudanganywa hivyo hivyo wakidhani wataoleka soon watakapoachana na waume zao kinawaozea.
 
Leo humu ndani watu mmekuwaje mnakuja na font na color nyingine nyingine WL umenikwanza na hiii font aisee aahh hata siwezi kusoma kabisa

Hahahahha.... bora umwambie wewe DA, maana na mimi nimemwambia, may be sh z using her 4n? au labda kuna tatizo somewhere??? leo hii ndo font yake....LOL

Wiselady love you mammie!!!
 
Hahahahha.... bora umwambie wewe DA, maana na mimi nimemwambia, may be sh z using her 4n? au labda kuna tatizo somewhere??? leo hii ndo font yake....LOL

Wiselady love you mammie!!!

hahaha!sawa bwana nimewasikia mpenzi,,me nakupenda pia hata keyboard yangu inajua,,lol
 
There’s a man stealing smiles from her, did you know that a woman who is deeply hurt is the most attractive to someone else?

Hii ina ukweli fulani, ila mara nyingine wanawake muwe makini, manake unaweza kuta jamaa lina-take advantage tu.
 
Huyu fainesti kama anataka ya upande wa pili si aandike atuletee hapa,si tumewawekea yao kuwa ukiona wa nini mwenzio anasema nitampataje,,lol ila post yangu ya kwanza nilisema inaweza pia kuapply pande zote

Ni kweli WL inaweza ika apply both sides ila wanaume wamezidi jamani kha! (naomba unifikishie salamu kwa sauti ya jangwa lol )
 
hiyo ni kweli kabisa kabisa, tuwe considerate katika kila jambo tunalolifanya kwa wenzi wetu na watu wote kwa ujumla
 
Huyu fainesti kama anataka ya upande wa pili si aandike atuletee hapa,si tumewawekea yao kuwa ukiona wa nini mwenzio anasema nitampataje,,lol ila post yangu ya kwanza nilisema inaweza pia kuapply pande zote

Hapo sasa aandike yeye ailete
 
Hahahahha.... bora umwambie wewe DA, maana na mimi nimemwambia, may be sh z using her 4n? au labda kuna tatizo somewhere??? leo hii ndo font yake....LOL

Wiselady love you mammie!!!

Leney umeona eehhh
 
Za mchana Dena,kuandika haya lazima kuna kitu kimekusukuma,njoo kwangu mwaya nikufute machozi uanze kucheka tena.
 
If this is an alert for men.... what is the alert for women? Can't the same theory apply too? I am not against you.... but the the vice versa is true madam...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…