Playstore kushindwa ku'download apps

Boutafrica

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
1,295
Reaction score
2,862
Habari wakuu
Naomba mnisaidie,nilikuwa natumia whatspp kwnye hii cm yangu na sasa whspp imexpire..sasa kila niki'update inaload tuu,pia nimejaribu ku'unistall whtspp na nikaenda kwenye playstore ili ni'stall new whspp version lkn bado inaload tu haimalizi..pia hta nikidownload app yyte kwa playstore bado inaload tu.Naomba msaada mwenye kujua solution anifundishe wakuu.
 
Fungua settings, halafu accounts then remove google account. Restart simu rudi tena kwenye settings rudisha google account. Tatizo lako litaisha
 
Angalia pia setting za internet, kama apn ni wap au internet. Apn au acess point name utaipata kwenye mobile networks
 
Ahsanteni sana kwa ushauri ila mpk sasa haijakubali yan bado inaload tuu...naombeni maarifa zaidi kwani hii whtspp me naitumia kwa mambo muhimu sana ya kiofisi na si mambo ya kijingajinga..nifanye vp?msaada wenu wakuu nimekwama ndg yenu.
 
tumekwambia angalia apn zako zikoje

tutajie hapa tukusaidie.
 
Pia inategemea na internet ikoje, jaribu hata laini nyingine. Kwa mfano hapa nilipo leo voda haiko vizuri hata nikifanikiwa kusubmit hii post nitashukuru.
 
tumekwambia angalia apn zako zikoje

tutajie hapa tukusaidie.
Mkuu nimeenda ktk Edit accss point kuna maneno haya
NAME-Vodacm internet
APN-Internet
Prox-not se
Yan huku chini kote not set..msaada mkuu.
 
Mtandao wako leo utakuwa kimeo. Hakuna kingine.

Hapana mkuu hii hali tangu siku 4 zilzopita na ikikuwa kila nikifngua whtspp inaniambia inakaribia ku'expire sasa jana tar13 ndo ikaexpire kabisa na kila niki'update inaload tuu. Pia hata nikidowload chochote kupitia playstore bado hali ndo hyo.
 
Download whatsapp hapa

WhatsApp for Android

Pia jaribu ku clear cache na data za playstore
 
Dah kuuliza sio ujinga,hivi ukiambiwa Clean cache huwa wanamaanisha nini? Maana huwa natamani kubofya kwenye hiyo option bt kila nikipeleka kidole mapigo ya moyo yanaenda mbio.
Msaada tafadhari.
 
Dah kuuliza sio ujinga,hivi ukiambiwa Clean cache huwa wanamaanisha nini? Maana huwa natamani kubofya kwenye hiyo option bt kila nikipeleka kidole mapigo ya moyo yanaenda mbio.
Msaada tafadhari.

Cache ni sehemu vitu vinavyotumika mara kwa mara vinapokaa ili vikitumika app isianze kuvitafuta.

Mfano logo ya jamiiforums hio hapo juu, inaweza kuseviwa kwenye cache ili ukiingia jf iwe inaload fasta na sio kila ukiingia uwe unaidownload upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…