SOKETI JF-Expert Member Jul 24, 2010 206 50 Feb 29, 2012 #1 Kuna tofauti gani kati ya tabia za play boy na mwanamke malaya, je anchokifanya play boy ni sahihi na sio kama uhuni anaoufanya mwanamke malaya.. COMENT
Kuna tofauti gani kati ya tabia za play boy na mwanamke malaya, je anchokifanya play boy ni sahihi na sio kama uhuni anaoufanya mwanamke malaya.. COMENT
M mzabzab JF-Expert Member Aug 18, 2011 34,060 61,437 Feb 29, 2012 #3 wote wanapenda kuonja mautamu tofauti
tz1 JF-Expert Member Mar 19, 2011 2,121 534 Feb 29, 2012 #4 MadameX said: Wote wachafu.. Click to expand... anaye pokea ni mchafu siyo anaye toa