Platinum Credit kulikoni?

greater G

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
308
Reaction score
218
Taasisi hii jamani kulikoni? Hv sasa ukitaka wakupatie settlement quotation ya mkopo wako wanakutaka ulipe tsh 10,000/_ kwa ajili ya kukupatia quotation hiyo.

Mbaya zaidi WANADAI pamoja na kulipia pesa hiyo, quotation hiyo utaipata kila siku ya Ijumaa pekee.

Jamani,huu utaratibu wa wapi?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Platinum credit ndiyo nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…