Ni earphone zisizo tumia waya. Zinaendana na simu na tablet za sumsung na iPhone, iPad. Epuka usumbufu wa kujivika waya ndefu pasipo lazima. Zinafaa sana kwa watu wa kawaida, pia madereva wa magari na pikipiki ambapo waweza kuongea na mtu kwenye simu au kusikiliza audio pasi na kushikilia simu...