Kwaio ww huna !?Nenda Kwa Bill Gates atakupa .. huko ndo kapata instructions za kudepopulate our lovely planet..
Kuwatambua Kwa kuwataja majina?Imagine Miungu wa planet Mars wanasikitka hujawatambua kabisa kwenye uzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
huu Uzi ni maalumu Kwa watu ambao wapo obsessed na Mambo ya planets, space and extraterrestrials. We shares ideas and all that.. Nna nondo nyingi Sana za kushare na Wana. Utawaponza wenzako wakose burudani bure..Mmh...
Vipi huko Saturn ziwa Victoria lao Kuna kamongo?
😳😳Kibogoyo mama ako
ELOHIM TZABAOTH , LORD OF THE HOSTS THE SERAPHIMS IN HEAVEN CEASE NOT TO CRY DAY AND NIGHT.I always have intuition similar to this. That probably every planet has it's own god. And the so called Mungu wa majeshi anapambana na miungu wa sayari nyingine, otherwise kwanini aitwe Bwana wa majeshi?
huu Uzi ni maalumu Kwa watu ambao wapo obsessed na Mambo ya planets, space and extraterrestrials. We shares ideas and all that.. Nna nondo nyingi Sana za kushare na Wana. Utawaponza wenzako wakose burudani bure..
Lengo ni kujifunza vitu vipya na kufantasize.
Kama sio interest yako you better ignore the thread.
Ur comment was not necessary here..
In Ur life, try to avoid at all cost showing up in a place where Ur presence is not needed..
With all due respect I beg you to stay off this thread.
Noted boss.
Indeed am sorry.