Itakuwa Mengi amepanda dau kumrudisha
Kilikua hot enzi yuko Salama Jabir
Salama Jabir
Yeah Salama Jabir
Salama J
Salama Jabir, daah.
I reserve my words at the moment.
Why??
Au nimekosea jina
Umepatia dear.
Story zake za nyuma ya pazia, gb kadhaa.
Umepatia dear.
Story zake za nyuma ya pazia, gb kadhaa.
Umepatia dear.
Story zake za nyuma ya pazia, gb kadhaa.
Inaonesha una ubuyu na umekukabaaa basi jiachieee tu kabla sheriaaa haijapitishwaa maana ikipita huta kuwa huru hayaaa twendeeeeeh kaziππππππ
Si unaona hapo juu, mkuu matola kaua band! Tufunike kombe.